1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
Check with seller
Nauza Showcase Nzuri ya Kisasa
Nauza showcase nzuri ya kisasa kwa ajili ya chumba cha wageni au ofisi. Imetengenezwa kwa mbao imara na vioo vya ubora, inafaa kwa kuhifadhia vyombo, vitabu au mapambo. Hali yake ni nzuri sana na inauzwa kwa bei nafuu. π Napatikana Iringa mjini π Piga au tuma meseji kwa maelezo zaidi 0627477686 0710574686
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Tunauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. π Napatikana Gangilonga Iringa mjini π Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 π Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza kuku wa Sasso wa ubora wa juu
Wauzaji wa kuku na vifaranga Bora vya sasso Washauri wa kitaalamu na wafugaji wa mabanda ya kuku Tunatumia mpaka mikoani
Located: Ismani, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mayai ya kisasa bei ya jumla
Nauza mayai ya kisasa safi na yenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu ya jumla. Yanafaa kwa biashara ya chakula, migahawa, hoteli au matumizi ya nyumbani. β
Ubora wa kuaminika β
Bei nafuu ya jumla β
Upatikanaji wa kila siku Nipo Iringa, unaweza kuagiza kidogo au kwa wingi kulingana na mahitaji yako. Mawasiliano:075359...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
kuku wa kisasa wa nyama
Nauza kuku wa kisasa wenye afya nzuri na waliokuzwa kwa chakula bora. Unapata kuku bora kwa ajili ya biashara, sherehe, au matumizi ya nyumbani. Bei zetu ni nafuu na unaweza kupata kwa rejareja au jumla. π Napatikana kihesa Iringa π Wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0718603656 0742610610
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vinauzwa
VIWANJA VINAUZWA. β
VIWANJA VIPO KINYANAMBO A (MIFUGO) MAFINGA IRINGA πΉπΏ. β
VIWANJA VIMEPIMWA UKUBWA WA MITA 20 KWA 25 NA 20 KWA 20 . β
BEI NI MILIONI TATU NA LAKI TANO PUNGUZO LIPO KIDOGO. β
VIMEBAKI VIWANJA VITATU TU. β
O768651525.
Located: Mafinga, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa π Maelezo: Nauza brauzi safi za mtumba Grade 1 β ubora mzuri, bado zipo kwenye hali nzuri kwa matumizi ya muda mrefu. π Mahali: Iringa mjini, Frelimo β
Faida: Ubora wa juu (Grade 1) Bei nafuu na punguzo kwa wanaochukua nyingi Zinafaa kwa biashara au matumizi binafsi π Mawasiliano:06248...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
masweta mazuri ya kisasa
Nauza masweta mazuri ya kisasa, yenye ubora mzuri na bei nafuu. Yanapatikana katika size na rangi tofauti kulingana na mahitaji yako. Yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. Mahali: Iringa Mjini Wasiliana Nami: 0745395040
Located: Mafinga, TZ
Premium
Check with seller
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza furniture za bei nafuu
Furniture mpyaa za bei ndogo Makabati Vitanda Showcase #kulipia kwa hawamu uhakikaa njoo WhatsApp 0627866680 Iringa town
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Viwanja vinauzwa kigonzile
Njooo ujichukulie viwanja ivyoo apoo mia 700sq kwa milioni tatu na nusu Kila kimoja pga 0714974268 location kigonzile karibu na Shule ya st Dominic
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
