1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
45.00 TZS
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325 Malipo awamu mbili miez 6&12 Miezi 6 malipo kwa week 15821 Miezi 12 malipo kwa week 10640 Karibuni sana iringa free delivery Piga 0611218325
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza mashati ya kiume ya mtumba
Nauza mashati ya kiume ya mtumba grade A, ubora wa hali ya juu na bado mapya kwa kuvaa. โ๏ธ Yanapatikana kwa rangi na design mbalimbali โ๏ธ Ubora wa kudumu na muonekano wa kisasa โ๏ธ Bei nafuu na inakubaliana Mahali: Iringa mjini Mawasiliano: 0657693380 Piga/Sms/WhatsApp kwa maelezo zaidi
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mikopo ya biashara kuanzia milioni moja
Mikopo ya BIASHARA kuanzia Milioni moja(1,000,000) na kuendelea. Ni kwa ajili ya wafanyabiashara walio na biashara Iringa. Tunakuja kukagua biashara,na kiwango cha mkopo kitategemeana na uwezo wa biashara yako. Piga simu ili uje Benki kwetu kwa maelezo zaidi. PIGA SIMU 0612 250266-Afisa Mikopo
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Premium
Check with seller
Nauza viatu vya Travolta
Viatu vya Mtumba Grade A Travolta Vinauzwa ๐ฅฟ Nauza viatu vya mtumba grade A vilivyo kwenye hali nzuri sana. ๐ Napatikana Iringa mjini โ
Ubora wa hali ya juu โ
Bei nafuu kabisa โ
Vyote viko tayari kwa matumizi Karibu ununue kwa ajili yako au biashara. Piga/WhatsApp: 0621006724
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
kuku wa kisasa wa nyama
Nauza kuku wa kisasa wenye afya nzuri na waliokuzwa kwa chakula bora. Unapata kuku bora kwa ajili ya biashara, sherehe, au matumizi ya nyumbani. Bei zetu ni nafuu na unaweza kupata kwa rejareja au jumla. ๐ Napatikana kihesa Iringa ๐ Wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0718603656 0742610610
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka pia Tunabadirisha muundo wa zamani kuwa wa kisasa kwa Bei nafuu tunapatikana iringa mjini mtaa wa zizi 0616181457
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vinauzwa kigonzile
Njooo ujichukulie viwanja ivyoo apoo mia 700sq kwa milioni tatu na nusu Kila kimoja pga 0714974268 location kigonzile karibu na Shule ya st Dominic
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza furniture za bei nafuu
Furniture mpyaa za bei ndogo Makabati Vitanda Showcase #kulipia kwa hawamu uhakikaa njoo WhatsApp 0627866680 Iringa town
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza unga wa mchele
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
TANGAZO LA KAZI
We are Hiring! HR Coordinator --- Why Join Us? At Ramada Hotel, we believe our people are our greatest asset. This role offers the chance to develop your HR career in a supportive, international hospitality environment, while making a meaningful impact on employee engagement and organisational success. --- About the Ro...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza Kuku wa sasso ni wazuri
KARIBUNI mjipatie kuku aina ya sasso wanapatikana wakuuza na kufuga wamepata chanjo wote
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
