Nauza gari aina ya tipa ya mchanga ambalo liko katika hali nzuri na linafaa kwa kazi zote za ujenzi, usafirishaji wa mchanga, mawe, kifusi na mizigo mingine ya site. Gari lina nguvu, lina injini imara, halina matatizo ya matumizi na limekuwa likitunzwa vizuri. Tipa hii inafaa kwa kampuni za ujenzi, wachimbaji, mafundi wa site na wafanyabiashara wanaohitaji usafiri wenye uwezo mkubwa. Bei ni Milioni 55 tu, yenye kuendana na ubora na hali ya gari. Lipo Mafinga – Wai na lipo tayari kuonwa muda wowote. Mnunuzi unaongea moja kwa moja na mmiliki bila peremende. Kwa mawasiliano au kuona gari, piga au tuma WhatsApp 0752 555 884. Usikose nafasi ya kupata tipa bora, yenye nguvu na yenye thamani halisi kwa kazi zako za kila siku. Gari linafaa kuingia kazi mara moja bila gharama za ziada.
Dukani kwa magda nguo bei poa bei rahisi! Tengeneza faida mara mbili. Simu 0636408609 https://chat.whatsapp.com/H1ucVTOWSxO5QGix6srtDj?mode=gi_t Tunarahisisha biashara kwa watu wa mikoani kwa kuwafikishia mizigo kwa haraka na kwauaminifu mkubwa. Watu wa Dar Es Salaam karibuni dukani Kariakoo jengo la DDC. Jumla Tsh 45,...
Located:Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZCondition:NewTransaction:Sell
TULIPAMWINGA MBETULI VAYAWE mashamba bado yapo yakutosha ndani ya mkoa wa iringa karibuni sana, Ninazo eka za kutosha kata ya lyamgungwe wilaya ya iringa vijijini Pia kwa wanaopenda kilimo cha umwagiliaji ninazo eka 7. Mawasiliano 0650152828 0795320922
Nauza pop corn mashine mpyaaa mnooo 250k,kitanda 5 kwa 6 cha chuma sofa kote kwa 145k,azam ya antena kwa 30k,piano kwa 105k,sofa watu 3 kwa 110k,sofa watu 2 jipy na mito kwa 145k,kimeza cha tv kwa 35k,jiko plate 4 3 znatumia gas 1 umeme kwa 195k,king lion pikpiki no DDD KWA MILION 1.5 TUUU 0620840577 IRINGA MJINI wahii...
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.