Nauza gari aina ya tipa ya mchanga ambalo liko katika hali nzuri na linafaa kwa kazi zote za ujenzi, usafirishaji wa mchanga, mawe, kifusi na mizigo mingine ya site. Gari lina nguvu, lina injini imara, halina matatizo ya matumizi na limekuwa likitunzwa vizuri. Tipa hii inafaa kwa kampuni za ujenzi, wachimbaji, mafundi wa site na wafanyabiashara wanaohitaji usafiri wenye uwezo mkubwa. Bei ni Milioni 55 tu, yenye kuendana na ubora na hali ya gari. Lipo Mafinga – Wai na lipo tayari kuonwa muda wowote. Mnunuzi unaongea moja kwa moja na mmiliki bila peremende. Kwa mawasiliano au kuona gari, piga au tuma WhatsApp 0752 555 884. Usikose nafasi ya kupata tipa bora, yenye nguvu na yenye thamani halisi kwa kazi zako za kila siku. Gari linafaa kuingia kazi mara moja bila gharama za ziada.
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.