Karibu CCT kwenye kozi ya Graphics & Video! Jifunze kutengeneza content ya kitaalamu inayovutia, ya ubora wa juu kwa ajili ya mitandao ya kijamii, biashara, matangazo, na maudhui ya digital marketing. Kozi hii inafaa kwa wajasiriamali, wauzaji wa bidhaa, waundaji wa video na picha, pamoja na wote wanaotaka kuongeza ujuzi wao katika teknolojia ya media. Udahili unaendelea sasa — chukua nafasi yako na anza safari ya kujifunza kutoka kwa walimu wenye uzoefu, kwa mafunzo ya vitendo na nadharia. Pata mwongozo wa hatua kwa hatua, funza mbinu za kuhariri video na picha, na pata ujuzi unaokubalika kimataifa. Kwa maelezo zaidi na usajili, wasiliana nasi +255 760 390 404. Jiandae kuboresha ujuzi wako na kuunda content yenye mvuto wa kitaalamu.
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.