✔ Ubunifu na Uanzishaji wa Biashara
✔ Masoko na Uendeshaji wa Biashara
✔ Uzalishaji wa Bidhaa kama vile (Mafuta, Shampoo, Gel n.k)
✔ Usimamizi mzuri wa Fedha
✔ Digital Marketing n.k
Kozi hii ni ya Online na Physical, watu wote mnakaribishwa kujiunga.
Kwa wanafunzi wataojiunga na kozi hii watapata ofa ya kujifunza:
Kufanya maamuzi sahihi ukiwa chuoni
Ujasiriamali bila kuadhiri masomo
Kujiandaa na changamoto za ajira mapema
Njia ya kupata GPA nzuri n.k
Kozi hii itakuwa na wakufunzi mashuhuri kutoka:
Naturalasilila | SIDO | Ofisi ya mkemia mkuu | UTT AMIS | TBS | Banks n.k
MHITIMU ATAONDOKA NA CHETI PAMOJA NA BIDHAA INAYOFANYIKA KUUZWA SOKONI!
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.