TANGAZO LA NAFASI YA MASOMO KWA MWAKA 2026.
π οΈ CHUO CHA MAFUNZO YA UFUNDI STADI MORAVIAN NAMTUMBO.
Je, unatafuta elimu bora ya mafunzo ya ufundi kwa vitendo na yanayokuwezesha kujiajiri au kuajiriwa mara moja? Namtumbo Moravian VTC ndiyo chaguo sahihi kwa ajili yako!
π KOZI TUNAZOTOA
β
Ufundi Umeme
β
Ufundi Magari
β
Ufundi wa Kompyuta na Matumizi ya komputa
β
Ushonaji na ubunifu wa mavazi
π― KWA NINI UJIUNGE NA NAMTUMBO MORAVIAN VTC?
β¨ Kupata vifaa baada ya mafunzo (Mfano, Mwanafunzi anayehitimu fani ya ushonaji kwa kozi ndefu hupatiwa cherehani)
β¨Mafunzo kwa Vitendo (Hands-on Training)
β¨ Walimu Wenye Uzoefu na Ujuzi
β¨ Maabara na Karakana za Kisasa
β¨ Huduma bora kwa Wanafunzi
β¨ Nafasi za Mafunzo kwa Vitendo (Field Training & Internship)
β¨ Nafasi ya Kujiajiri au Kupata Ajira kwa haraka baada ya masomo.
π« MUUNDO WA MASOMO
π Cheti (Level 1-2)
π Mafunzo ya muda mfupi kwa wale wanaotaka ujuzi mpya, waliopo kazini au wanaotaka kuongeza ujuzi.
π MAHALI TUNAPOPATIKANA
Tupo Namtumbo Mjini, Ruvuma - Mahali salama na panapofikika kwa urahisi.
π MAWASILIANO
π± Simu: 0622478626
π§ Barua Pepe: namtumbomoravian vtc@gmail.com
β³ USIKOSE NAFASI!
Udahili unaendelea kwa wanafunzi wa kozi ndefu zitakazoanza mwezi wa kwanza 2026.
π Jiunge nasi leo,Jenga Kesho yako kwa Maarifa ya Vitendo!
@every one
