Je, unataka biashara yako ifanye kazi kwa mujibu wa Sheria ya Biashara Tanzania? Tunakusaidia kupata nyaraka sahihi, usajili rasmi na mikataba ya kisheria ili kulinda biashara yako dhidi ya migogoro na changamoto za kisheria.
HUDUMA ZETU
⚖️ SHERIA YA BIASHARA
✅ Ushauri wa Sheria ya Biashara
✅ Maandalizi ya Mikataba ya Biashara
✅ Mikataba ya Pango la Biashara
✅ Mikataba ya Mauziano ya Viwanja na Nyumba
✅ Mikataba ya Ushirikiano wa Biashara
✅ Mikataba ya Ajira
✅ Mikataba ya Huduma (Service Agreements)
✅ Nyaraka za Makubaliano ya Kibiashara
🏢 USAJILI WA BIASHARA
✅ Usajili wa Jina la Biashara
✅ Usajili wa Kampuni
✅ Usajili wa Leseni ya Biashara
✅ Usajili wa TIN Number
✅ Usajili wa BASATA
✅ Usajili wa NEST
✅ Tax Clearance Certificate
✅ Renewal ya Leseni na Business Name
🎨 BRANDING NA GRAPHICS DESIGN
✅ Logo Design
✅ Posters na Mabango
✅ Business Cards
✅ Flyers na Brochures
✅ Lebo za Bidhaa
✅ YouTube Thumbnails
✅ AI Video Advertisements
✅ T-Shirt Printing
KWA NINI UTUCHAGUE?
✔ Biashara yako inafuata Sheria za Tanzania
✔ Mikataba yenye ulinzi wa kisheria
✔ Huduma za haraka na uhakika
✔ Wataalamu wenye uzoefu
✔ Bei nafuu na huduma bora
KAULI MBIU
"Sheria Sahihi, Biashara Salama na Mafanikio ya Kudumu."
📞 Wasiliana Nasi: 0772 509 183
Mimi MUUZAJI wa mabelo ya mitumba OG nauza bidhaa bora zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu. Nauza shuka safi na nene, suruali za kike na kiume, nguo bora za watoto, pamoja na nguo za wakubwa kwa matumizi ya kila siku na hafla mbalimbali. Mitumba yangu huchaguliwa kwa umakini, iko katika hali nzuri na inavutia wateja. Nafaa kwa rejareja na jumla, bei ni rafiki na zinajadiliwa. Karibu ununue mitumba OG ya kuaminika, huduma ya haraka na uaminifu wa hali ya juu. Tunapokea oda na kusafirisha ndani na nje ya mkoa.
ABIY FURNITURE IRINGA – SAMANI ZA KISASA ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Je, unatafuta sofa za kisasa, makabati ya nguo, meza za TV, seti za sebule au samani za ofisi zenye ubora wa hali ya juu? Karibu ABIY Furniture Iringa, mahali sahihi pa kupata samani za kisasa zinazoongeza hadhi, uzuri na thamani ya nyumba yako. Tunate...
FUNDI GYPSUM IRINGA – UBORA UNAONEKANA Je, unajenga nyumba mpya au unafanya ukarabati wa nyumba yako? Karibu kwa huduma bora za Gypsum na Interior Decoration Iringa. Tunabadilisha mwonekano wa nyumba, ofisi, hoteli, migahawa na biashara mbalimbali kwa kutumia gypsum za kisasa na wall molding zenye muonekano wa kifahari...
FURNITURE ZA CHUMA ZENYE UBORA WA JUU – IRINGA Je, unahitaji furniture za chuma imara, za kisasa na zinazodumu kwa muda mrefu? Karibu kwetu kwa huduma za kitaalamu za utengenezaji wa furniture mbalimbali za chuma kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, shuleni, hospitalini na biashara mbalimbali. Tunatengeneza kwa ubora wa ...
CHUGA NAILS IRINGA – UREMBO WA KISASA, UBORA WA KIPEKEE ✨💅 Karibu Chuga Nails Iringa, mahali sahihi kwa huduma za kisasa za urembo wa kucha zinazokupa mwonekano wa kuvutia, nadhifu na wa kipekee. Tunatoa huduma bora za kutengeneza, kupamba na kutunza kucha kwa kutumia vifaa vya kisasa na mbinu za kitaalamu ili kuhakiki...
🔧 KARIBU ERNEO PLUMBING – FUNDI BOMBA MWENYE UZOEFU NA UBORA IRINGA! 🔧 Unatafuta fundi bomba wa kuaminika kwa kazi za maji nyumbani, ofisini au kwenye jengo lako? Karibu Erneo Plumbing kwa huduma za uhakika, ubora wa hali ya juu na bei nafuu. Tunafanya kazi mbalimbali za plumbing ikiwemo: ✅ Ufungaji wa mabomba ya maji ...
Unaitaji mafunzo ya bajaji, gari, pikipiki, guta(toyo) Jiunge leo na mafunzo ya driving. Main campus ipo Iringa mjini na branch mafinga Cheti + leseni = 💯 Mawasiliano: +255754444011 (ipo WhatsApp na kawaida) Bonyeza link ili uanza usajili 👇🏾 https://www.lumis.kaitu.ac.tz/unisignup.php
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.