GOODWILL NOVELLUS SECONDARY SCHOOL
2026 ADMISSION
Karibu shule bora ya sekondari – GOODWILL NOVELLUS
Inayopatikana Maji ya Chai – Arusha, Tanzania,
iliyo na kidato cha kwanza hadi cha nne.
Ni shule ya wavulana na wasichana,
ya kutwa na bweni yenye usajili Na. S. 5833.
Nafasi za Masomo
Nafasi za kujiunga na Kidato cha 1, 2 & 3 kwa mwaka wa masomo 2026 zinapatikana kwa wanafunzi watakao kidhi vigezo.
Hii siyo nafasi ya kukosa maana mbali na masomo mengine, mwanafunzi atafundishwa lugha nne za kimataifa ikiwemo:
Kiingereza, Kifaransa, Kichina & Kiswahili
Malezi na Mazingira
Hakika mwanao yuko salama mikononi mwetu.
Maana tumejipanga kutimiza matarajio yake kielimu,
kiafya na kiroho kwa msaada wa Mungu.
Tafadhali jiunge nasi kamwe hutajuta.
Ada
ADA NI TSH 1,640,000
Na inalipwa kwa awamu nne.
Mawasiliano
📞 0753600009 / 0749200009
📞 0745500001 / 0758500007
📧 goodwillnovellusschools@gmail.com
📍 Arusha – Maji ya Chai
