Check with seller
Nauza Showcase Nzuri ya Kisasa
Iringa, TZ
Vitu vya nyumbani
3 weeks ago
Nauza showcase nzuri ya kisasa kwa ajili ya chumba cha wageni au ofisi. Imetengenezwa kwa mbao imara na vioo vya ubora, inafaa kwa kuhifadhia vyombo, vitabu au mapambo. Hali yake ni nzuri sana na inauzwa kwa bei nafuu. π Napatikana Iringa mjini π Piga au tuma meseji kwa maelezo zaidi 0627477686 0710574686
Check with seller
12 people viewed
Added 3 weeks ago