📢 TANGAZO LA MASOMO 📢
🎓 Ruaha Tourism College
📍 KIPO – Iringa
Chuo cha Ruaha Tourism College – KIPO Iringa kinawatangazia umma wote kuwa:
🗓 Masomo yataanza tarehe 14/05/2026
⏳ Mfumo wa Masomo:
✅ Miezi 3 Darasani (Classroom Training)
✅ Miezi 3 Mafunzo kwa Vitendo (Field Practical)
📚 Kozi Zinazotolewa:
🔹 Tour Guiding & Safari Operations
🔹 Wildlife & Conservation Studies
🔹 Tourism Management
🔹 Hotel & Hospitality Courses, ikiwemo:
▪️ Hotel Management
▪️ Front Office Operations
▪️ Food Production (Kitchen/Cooking)
▪️ Food & Beverage Service
▪️ Housekeeping Operations
▪️ Customer Care & Hospitality Skills
Kozi zote zinatolewa kwa mfumo wa vitendo zaidi, kwa lengo la kuwaandaa wanafunzi moja kwa moja kwa soko la ajira.
👥 Nani Anakaribishwa?
✔ Wanafunzi waliomaliza shule
✔ Vijana wanaopenda utalii, uhifadhi na hotel management
✔ Watu wanaotaka ujuzi wa vitendo kwa muda mfupi
🌍 Jifunze – Fanya Vitendo – Ajiriwa
📞 Mawasiliano: 0756 516 562
📍 Ruaha Tourism College – KIPO, Iringa
📣 @RUAHA TOURISM COLLEGE IRINGA
Mimi MUUZAJI wa mabelo ya mitumba OG nauza bidhaa bora zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu. Nauza shuka safi na nene, suruali za kike na kiume, nguo bora za watoto, pamoja na nguo za wakubwa kwa matumizi ya kila siku na hafla mbalimbali. Mitumba yangu huchaguliwa kwa umakini, iko katika hali nzuri na inavutia wateja. Nafaa kwa rejareja na jumla, bei ni rafiki na zinajadiliwa. Karibu ununue mitumba OG ya kuaminika, huduma ya haraka na uaminifu wa hali ya juu. Tunapokea oda na kusafirisha ndani na nje ya mkoa.
ABIY FURNITURE IRINGA – SAMANI ZA KISASA ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Je, unatafuta sofa za kisasa, makabati ya nguo, meza za TV, seti za sebule au samani za ofisi zenye ubora wa hali ya juu? Karibu ABIY Furniture Iringa, mahali sahihi pa kupata samani za kisasa zinazoongeza hadhi, uzuri na thamani ya nyumba yako. Tunate...
FUNDI GYPSUM IRINGA – UBORA UNAONEKANA Je, unajenga nyumba mpya au unafanya ukarabati wa nyumba yako? Karibu kwa huduma bora za Gypsum na Interior Decoration Iringa. Tunabadilisha mwonekano wa nyumba, ofisi, hoteli, migahawa na biashara mbalimbali kwa kutumia gypsum za kisasa na wall molding zenye muonekano wa kifahari...
FURNITURE ZA CHUMA ZENYE UBORA WA JUU – IRINGA Je, unahitaji furniture za chuma imara, za kisasa na zinazodumu kwa muda mrefu? Karibu kwetu kwa huduma za kitaalamu za utengenezaji wa furniture mbalimbali za chuma kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, shuleni, hospitalini na biashara mbalimbali. Tunatengeneza kwa ubora wa ...
CHUGA NAILS IRINGA – UREMBO WA KISASA, UBORA WA KIPEKEE ✨💅 Karibu Chuga Nails Iringa, mahali sahihi kwa huduma za kisasa za urembo wa kucha zinazokupa mwonekano wa kuvutia, nadhifu na wa kipekee. Tunatoa huduma bora za kutengeneza, kupamba na kutunza kucha kwa kutumia vifaa vya kisasa na mbinu za kitaalamu ili kuhakiki...
🔧 KARIBU ERNEO PLUMBING – FUNDI BOMBA MWENYE UZOEFU NA UBORA IRINGA! 🔧 Unatafuta fundi bomba wa kuaminika kwa kazi za maji nyumbani, ofisini au kwenye jengo lako? Karibu Erneo Plumbing kwa huduma za uhakika, ubora wa hali ya juu na bei nafuu. Tunafanya kazi mbalimbali za plumbing ikiwemo: ✅ Ufungaji wa mabomba ya maji ...
Unaitaji mafunzo ya bajaji, gari, pikipiki, guta(toyo) Jiunge leo na mafunzo ya driving. Main campus ipo Iringa mjini na branch mafinga Cheti + leseni = 💯 Mawasiliano: +255754444011 (ipo WhatsApp na kawaida) Bonyeza link ili uanza usajili 👇🏾 https://www.lumis.kaitu.ac.tz/unisignup.php
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.