xThanks! That's very helpful
Search

Check with seller
Dalali Iringa | Nyumba, Viwanja na Ofisi za Kupanga

QR CODE
Ofisi
Posted 2 hours ago
0 views
USITUME PESA BILA KUONANA NA MUUZAJI
  • Dalali Iringa | Nyumba, Viwanja na Ofisi za Kupanga - 1

Dalali Iringa | Nyumba, Viwanja na Ofisi za Kupanga

Check with seller
QR CODE
Ofisi
Posted 2 hours ago
0 views

Maelezo

DALALI IRINGAMJINI – NYUMBA, VIWANJA, MASHAMBA NA OFISI ZA KUPANGA IRINGA
Je, unatafuta nyumba ya kuishi, kiwanja cha kujenga, shamba la kilimo au ofisi ya biashara kwa ajili ya kupangisha? Dalali Iringamjini tunakusaidia kupata mali unayoihitaji kwa haraka, kwa usalama na kwa bei inayokidhi mahitaji yako.
Tunapatikana Iringa na tunahudumia wateja wanaotafuta:
✅ Nyumba za kuuza na kupanga
✅ Viwanja vya makazi na biashara
✅ Mashamba ya kilimo na mifugo
✅ Godown na maghala ya biashara
✅ Ofisi za kupanga kwa kampuni, taasisi na wafanyabiashara
✅ Fremu za maduka na maeneo ya biashara
✅ Ushauri wa ununuzi, uuzaji na upangishaji wa mali
Kwa wanaohitaji ofisi za kupanga, tunakusaidia kupata ofisi zilizo katika maeneo mazuri ya biashara, zenye miundombinu bora, maegesho ya magari na mazingira yanayofaa kwa shughuli za kampuni, taasisi, NGO na biashara mbalimbali.
Ikiwa una nyumba, kiwanja, shamba, godown au ofisi unayotaka kuuza au kupangisha, wasiliana nasi ili tukusaidie kupata wateja kwa haraka.
📞 0768 908 002 (WhatsApp)
📞 0712 908 002 (WhatsApp)
📍 Iringa, Tanzania
Dalali Iringamjini – Tunakuunganisha na fursa bora za nyumba, viwanja, mashamba, godown na ofisi za kupanga Iringa.

Vigezo

Sifa: New
Malipo: Sell
Mimi MUUZAJI wa mabelo ya mitumba OG nauza bidhaa bora zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu. Nauza shuka safi na nene, suruali za kike na kiume, nguo bora za watoto, pamoja na nguo za wakubwa kwa matumizi ya kila siku na hafla mbalimbali. Mitumba yangu huchaguliwa kwa umakini, iko katika hali nzuri na inavutia wateja. Nafaa kwa rejareja na jumla, bei ni rafiki na zinajadiliwa. Karibu ununue mitumba OG ya kuaminika, huduma ya haraka na uaminifu wa hali ya juu. Tunapokea oda na kusafirisha ndani na nje ya mkoa.

Matangazo mengine ya muuzaji huyu

Comments

No comments has been added yet, be first to comment this ad!
Tuma maoni

Guliostore's profile

Guliostore
Guliostore Registered for 10+ months Last online 2 hours ago
Seller's description No description left by seller

Contact Guliostore (seller)

    Dalali Iringa | Nyumba, Viwanja na Ofisi za Kupanga - 1
    Dalali Iringa | Nyumba, Viwanja na Ofisi za Kupanga
    Check with seller
    To protect against prohibited activities, we may check your message before it is forwarded to the recipient and, if necessary, block it.

    Seller details Details

    Guliostore
    Guliostore
    11 active listings
    Non-Professional seller
    Registered for 10+ months
    Last online 2 hours ago
    Contact All items

    Listing location

    Iringa Mjini, Iringa, Iringa, Tanzania
    -7.76667, 35.7

    Stay safe!

    Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
    Dalali Iringa | Nyumba, Viwanja na Ofisi za Kupanga
    Check with seller Dalali Iringa | Nyumba, Viwanja na Ofisi za Kupanga by Guliostore
    Js