Tunauza nguo za watoto zenye ubora wa hali ya juu, zinazofaa kwa umri tofauti kuanzia watoto wachanga hadi wenye umri wa shule. Tunahakikisha kila bidhaa ina material laini, imara na salama kwa ngozi ya mtoto, hivyo kuwapa watoto faraja na muonekano mzuri kila siku. Tunatoa seti mbalimbali kama nguo za michezo, casual wear, gauni, suruali, tisheti, sweta, pamoja na nguo za msimu wa baridi. Bidhaa zetu zinachaguliwa kwa umakini ili kuhakikisha kila mzazi anapata thamani ya fedha yake bila kugusa ubora. Tunapatikana Mafinga, Iringa na tunahudumia wateja wote wanaohitaji nguo nzuri, zenye kudumu na bei rafiki. Pia tunatoa ushauri kuhusu aina bora ya nguo kulingana na umri wa mtoto. Kwa mawasiliano na oda, tupigie au tuma ujumbe kwa namba 0756317100.
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.