Check with seller
Tunauza kuku wa nyama
Iringa, TZ
Others
3 weeks ago
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. π Napatikana Gangilonga Iringa mjini π Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 π Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Check with seller
10 people viewed
Added 3 weeks ago