Nauza Nguo nzuri na za bei nafuu za watoto
πΉ Mahali: Iringa, Mashine Tatu
πΉ Ubora: Zipo katika hali nzuri, zimechaguliwa kwa umakini
πΉ Bei: Nafuu kabisa β unapata kwa bei ya jumla na rejareja
π Karibu ujipatie nguo bora za mtumba kwa ajili ya watoto wako!
π Kwa mawasiliano: 0769333551