6000000.00 TZS
Tunanunua na kuuza bajaji
TUNAUZA NA KINUNUA BAJAJI USED ..Full document* ..Price/bei-6,000,000/= ..Location~Dar es salaam~Mbagala ☎️Call & WhatsApp:0694048469📞 Mikoani Tunatuma Kwa Uwaminifu Mkubwa 🙏🏽🙏🏽
Located: Mbagalla, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
100000.00 TZS
Nauza nguo
Nauza nguo za mtumba za kiume mtumba jumla na na na na na na na na
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
2.00 TZS
Tunatangaza Kozi ya ususi na urembo
🎓 MSEWE COLLEGE Jiunge nasi katika program zifuatazo: Kozi Tunazotoa: 💻 Computer 🗣️ English course 👶 ualimu wa Chekechea utapata cheti cha Montessori 💇♀️ Urembo na Ususi Programu Maalum: • Form 1–2 (mwaka 1) • Form 3–4 (mwaka 1) • Form 5–6 (mwaka 1) • QT (FTNA) & wanaorudia Form 4 Fomu za kujiunga zinapatika chuon...
Located: Ubungo, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Manhattan_gym_fitness
Welcome to Manhattan Fitness Gym in Mtoni Kijichi, Dar es Salaam, the perfect place to achieve your health and fitness goals. We offer modern workout programs including strength training, aerobics, yoga, and personal training under the guidance of a certified Fitness Trainer and Healthy Eating Consultant. Join us to ge...
Located: Mtoni, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Tunatoa Kozi ya mapishi veta dar es salaam
Kozi ya Mapishi katika Chuo cha Ufundi Arizona @arizona_vtc 📌Fomu za Usajili zinapatikana Chuoni au kwa njia ya mtandao 📌Kozi inaanza tarehe 18/07/2022 (Miezi mitatu) 📌Swipe kuona muongozo na mtiririko wa kozi yote. 📌Wahitimu hupatiwa Vyeti 📌Chuo kimesajiliwa na VETA 📌Mafunzo kwa Vitendo 📌Ada inajumuisha uniform na vif...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Jiunge na Kozi ya Video Production dar es salaam
Karibu CCT kwenye kozi ya Graphics & Video! Jifunze kutengeneza content ya kitaalamu inayovutia, ya ubora wa juu kwa ajili ya mitandao ya kijamii, biashara, matangazo, na maudhui ya digital marketing. Kozi hii inafaa kwa wajasiriamali, wauzaji wa bidhaa, waundaji wa video na picha, pamoja na wote wanaotaka kuongeza...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Check with seller
Nguo za mtumba grade 1
Unatafuta nguo za mtumba grade 1 zenye ubora wa hali ya juu, safi na zinazovutia macho? Sisi tunakuletea nguo zilizochaguliwa kwa umakini, zikiwa bado kwenye hali nzuri karibu na mpya. Nguo zetu za mtumba grade 1 zina muonekano mzuri, hazijachakaa, na zinafaa kwa matumizi ya kila siku au kwa biashara ya kuuza rejareja....
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Belo la nguo za watoto
Belo la Nguo za Watoto – Uzae Faida Kubwa! Tunauza belo bora za nguo za watoto kuanzia miezi 0 hadi miaka 12. Mitumba safi, quality grade A, mitindo ya kisasa. ✔ Za jumla & rejareja ✔ Vipande 100+ kwa belo ✔ Bei nafuu kuanzia Tsh 120,000/= ✔ Delivery Tanzania nzima
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Masweta mazuri ya mtumba
Pata MASWETA mazuri ya mtumba yenye ubora wa hali ya juu, laini, yanayodumu na yanayovutia 👌 Yanatosha kwa baridi kali au matumizi ya kila siku. ✅ Ubora wa kuchagua ✅ Mitindo ya kisasa ✅ Bei nafuu sana ✅ Yanavaliwa na wanaume & wanawake 📦 Tunauza rejareja na jumla 📞 Wasiliana nasi sasa upate chaguo bora!
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Vitanda vya mbao vya kisasa
Unatafuta vitanda vya mbao vya kisasa vinavyokamilisha chumba chako na kukupa usingizi wa kifahari? Karibu kwenye duka letu la kisasa la furniture ambapo tunakuletea vitanda vinavyolingana na mtindo wa kisasa, vyenye uimara wa juu na ubora wa hali ya juu. Vitanda vyetu vina miundo ya kisasa yenye rangi na finish za kuv...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Pata magauni mazuri ya mtumba karibu mapya bei nafuu
Pata Belo magauni mazuri ya mtumba karibu mapya na kwa bei nafuu Dar es Salaam. ✅ Ubora wa juu, nguo zenye thamani ya pesa zako ✅ Mitindo ya kisasa inayofaa kwa wadada wa rika zote ✅ Chaguo nyingi za magauni, mashati, suruali na track suits ✅ Zilizochaguliwa kwa uangalifu ili kuhakikisha zinakaa vizuri na zinadumu 📍 Da...
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Vifaa vya Shule Stationery Jumla Tanzania
Nunua vifaa vya shule stationery kwa jumla kwa wanafunzi Tanzania. Penseli, kalamu, daftari, rula na vifaa vingine vya elimu kwa bei nafuu."
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
