10 results match your search criteria
Premium listings
Premium
Check with seller
masweta mazuri ya kisasa
Nauza masweta mazuri ya kisasa, yenye ubora mzuri na bei nafuu. Yanapatikana katika size na rangi tofauti kulingana na mahitaji yako. Yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. Mahali: Iringa Mjini Wasiliana Nami: 0745395040
Located: Mafinga, TZ
Premium
Check with seller
Viwanja vinauzwa
VIWANJA VINAUZWA. ✅VIWANJA VIPO KINYANAMBO A (MIFUGO) MAFINGA IRINGA 🇹🇿. ✅VIWANJA VIMEPIMWA UKUBWA WA MITA 20 KWA 25 NA 20 KWA 20 . ✅BEI NI MILIONI TATU NA LAKI TANO PUNGUZO LIPO KIDOGO. ✅VIMEBAKI VIWANJA VITATU TU. ✅O768651525.
Located: Mafinga, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Msemwa sounds huduma ya ukodishaji muziki
Msemwa Sound ni huduma ya ukodishaji wa vyombo vya muziki mkoani Mafinga, ikiwalenga wateja wa harusi, sherehe za ndoa, birthdays, events za shule, parties za kijamii na tamasha lolote. Tunatoa vyombo vya muziki vya kisasa vinavyofaa kwa aina zote za matukio, ikiwemo speakers, amplifiers, microphones, mixers, DJ equipm...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Fundi simu iringa
Kutana na John, mtaalamu mwenye uzoefu katika huduma mbalimbali za simu na teknolojia, anayetoa huduma kwa umakini na ubora wa hali ya juu. John anatoa ufundi wa simu za aina zote, ikiwa ni pamoja na kutengeneza matatizo ya software, kubadilisha spare parts, kufungua simu zilizofungwa, kurekebisha network, kuchomelea c...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
Mashamba ya miti yanauzwa
Wakuu kuna haya Mashamba yanauzwa, Kama una mzigo we ruka na mojawapo: Iringa, Wilaya ya Mafinga, Kata ya Mdabulo, Isipii. 1. Ekari 10: Shamba na Miti Pine (miaka 8) -> 15.5M 2. Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 7) -> 24M 3. Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 5) -> 18M 4. Ekari 5 - Shamba -> 2.1M 🎯Mao...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Miti inauzwa eneo la itimbo
Miti inauzwa eneo la Itimbo, ikiwa ni hekari moja yenye miti mikubwa, imara na iliyokomaa kwa zaidi ya miaka 10. Ni nafasi bora sana kwa wanaohitaji miti ya kutengeneza mbao nyingi kwa matumizi ya ujenzi, biashara ya mbao, au miradi ya viwandani. Miti hii imepandwa kwa mpangilio mzuri, imetunzwa vizuri, na ipo kwenye a...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Kiwanja kipo mafinga nauza
BEI IMEVUNJWA UKUBWA WA KIWANJA MITA 25KWA 22. KIWANJA KIPO LUMWAGO MAFINGA IRINGA TANZANIA 🇹🇿. BEI NI MILIONI MBILI. BARABARA, UMEME, MAJI, VYOTE VIPO JILANI. 📲O768651525.
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza Toyota Rash kwa bei ya Milioni 6.3
Nauza Toyota Rash kwa bei ya Milioni 6.3. Gari ipo Mafinga, ipo katika hali nzuri, tayari kwa kuendesha. Kwa maelezo zaidi au kuja kuangalia gari, tafadhali wasiliana nami kupitia simu au WhatsApp 0752 555 884. Pata gari bora kwa bei nafuu, huduma ya haraka na ya kuaminika. Tuna uhakika utapendezwa na gari hii Toyota R...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Check with seller
Nauza tipa ya mchanga
Nauza gari aina ya tipa ya mchanga ambalo liko katika hali nzuri na linafaa kwa kazi zote za ujenzi, usafirishaji wa mchanga, mawe, kifusi na mizigo mingine ya site. Gari lina nguvu, lina injini imara, halina matatizo ya matumizi na limekuwa likitunzwa vizuri. Tipa hii inafaa kwa kampuni za ujenzi, wachimbaji, mafundi ...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunauza nguo za watoto zenye ubora
Tunauza nguo za watoto zenye ubora wa hali ya juu, zinazofaa kwa umri tofauti kuanzia watoto wachanga hadi wenye umri wa shule. Tunahakikisha kila bidhaa ina material laini, imara na salama kwa ngozi ya mtoto, hivyo kuwapa watoto faraja na muonekano mzuri kila siku. Tunatoa seti mbalimbali kama nguo za michezo, casual ...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vinauzwa
VIWANJA VINAUZWA. ✅VIWANJA VIPO KINYANAMBO A (MIFUGO) MAFINGA IRINGA 🇹🇿. ✅VIWANJA VIMEPIMWA UKUBWA WA MITA 20 KWA 25 NA 20 KWA 20 . ✅BEI NI MILIONI TATU NA LAKI TANO PUNGUZO LIPO KIDOGO. ✅VIMEBAKI VIWANJA VITATU TU. ✅O768651525.
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
masweta mazuri ya kisasa
Nauza masweta mazuri ya kisasa, yenye ubora mzuri na bei nafuu. Yanapatikana katika size na rangi tofauti kulingana na mahitaji yako. Yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. Mahali: Iringa Mjini Wasiliana Nami: 0745395040
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
