43 results match your search criteria
Check with seller
Nauza viatu vya Travolta
Viatu vya Mtumba Grade A Travolta Vinauzwa 🥿 Nauza viatu vya mtumba grade A vilivyo kwenye hali nzuri sana. 📍 Napatikana Iringa mjini ✅ Ubora wa hali ya juu ✅ Bei nafuu kabisa ✅ Vyote viko tayari kwa matumizi Karibu ununue kwa ajili yako au biashara. Piga/WhatsApp: 0621006724
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nyumba inapangishwa wilolesi
House for rent$ --------------------------------------------------------------------------------+ Vyumba viwili na vyote ni master Sebule,jiko, store na public toilet Bei 400,000 Location Wilolesi Contact 0712908002
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Mayai ya kisasa
Nauza mayai ya kisasa, safi na yenye ubora kwa bei nafuu. Yanapatikana kwa wingi na kwa bei ya jumla na rejareja. 👉 Yanafaa kwa chakula cha familia 👉 Yanapatikana kwa wingi kwa wafanyabiashara wa mayai 👉 Ubora na uhakika wa kutosha MAHALI: Iringa Mjini MAWASILIANO: Piga/SMS/WhatsApp: 0789098984
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
TANGAZO LA KAZI
#NAFASI_ZA_KAZI YA_KUSAMBAZA_TAARIFA Wanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company Limited Taarifa za huduma inayotolewa na kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi/ Smart phone. NOTE: * Nilazima uwe na simu kubwa/ Smart phone * Uwe Iringa tu * Uwe na bidii ya kazi *...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Check with seller
Nauza Kuku wa sasso ni wazuri
KARIBUNI mjipatie kuku aina ya sasso wanapatikana wakuuza na kufuga wamepata chanjo wote
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Wauzaji wa accessories za magari
Tunauza spare zote za magari Tunauza accessories zote za magari Tunauza lubricant aina zote Tunafunga android music system Tunapatikana uhindini Iringa mjini
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Tunakopesha na kuuza simu aina ya Samsung
TUNAKOPESHA NA KUUZA SIMU AINA YA SAMSUNG NDANI NA NJE YA IRINGA VIGEZO 1. VITAMBULISHO KATI YA NIDA, MPIGA KURA AU LESENI YA UDEREVA 2. NAMBA AKO YA SIMU 3. KIANZIO A05 Gb 64/4 Cash -365K A06 128/4gb Kianzio-120,000Tsh Weekly -11,475 Cash-470,000Tsh A05S 128/4gb Kianzio-120,000Tsh Cash -450,000Tsh A16128/4gb Kianzio-1...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Check with seller
Nauza magauni Mazuri ya Mtumba Grade A
Nauza magauni mazuri ya mtumba Grade A, yaliyopo katika hali nzuri na yanayokaa vizuri. Yanafaa kwa shughuli mbalimbali – sherehe, kanisani au matumizi ya kila siku. 📍 Napatikana Iringa mjini ✅ Ubora wa hali ya juu ✅ Bei nafuu na punguzo kwa wateja wa jumla Mawasiliano: Piga/WhatsApp: [weka namba yako]
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Wauzaji wa laptop iringa
Duka kubwa la laptop Tuna bidhaa mbalimbali kwa bei ya OFA Karibu tukuhudumie
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Nauza unga wa sembe
MAMA SWAI SUPER SEMBE UNGA BORA WA MAHINDI..5KG,10KG,25KG... ✅UNAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI ✅ MIGAHAWANI ✅KUUZA MADUKANI TUNAPATIKANA MASHINE YA MWEMBETOGWA INAYOTAZAMANA NA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA.. Simu namba 0766811362. KARIBUNI SANA..
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu – Safi na Bora
Nauza magauni ya mtumba ya kike yenye ubora mzuri na muonekano wa kisasa. Magauni yapo katika hali nzuri, safi na yanapatikana kwa bei nafuu sana. ➡️ Aina mbalimbali za magauni (short, long & casual wear) ➡️ Ubora mzuri – yanavaliwa muda mrefu ➡️ Bei nafuu inayokufaa Mahali: Iringa mjini– Kitanzini Wasiliana Nasi: ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.