1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
45.00 TZS
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325 Malipo awamu mbili miez 6&12 Miezi 6 malipo kwa week 15821 Miezi 12 malipo kwa week 10640 Karibuni sana iringa free delivery Piga 0611218325
Premium
Check with seller
Mayai ya kisasa
Nauza mayai ya kisasa, safi na yenye ubora kwa bei nafuu. Yanapatikana kwa wingi na kwa bei ya jumla na rejareja. ๐ Yanafaa kwa chakula cha familia ๐ Yanapatikana kwa wingi kwa wafanyabiashara wa mayai ๐ Ubora na uhakika wa kutosha MAHALI: Iringa Mjini MAWASILIANO: Piga/SMS/WhatsApp: 0789098984
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Nauza magauni mazuri ya mtumba Grade A yenye ubora wa hali ya juu, safi, na ya mitindo ya kisasa. Magauni yetu yanatoka kwa wachuuzi wa kuaminika na yamechaguliwa kwa uangalifu kuhakikisha kila kipande kina muonekano mzuri, kinaendana na mitindo ya sasa, na kinastahili kwa sherehe, shuleni, au matumizi ya kila siku. Tu...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa
Brauzi za Mtumba Grade 1 Zinauzwa ๐ Maelezo: Nauza brauzi safi za mtumba Grade 1 โ ubora mzuri, bado zipo kwenye hali nzuri kwa matumizi ya muda mrefu. ๐ Mahali: Iringa mjini, Frelimo โ
Faida: Ubora wa juu (Grade 1) Bei nafuu na punguzo kwa wanaochukua nyingi Zinafaa kwa biashara au matumizi binafsi ๐ Mawasiliano:06248...
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Raba Kali za Mtumba Bei Nafuu Iringa Miyomboni
Nauza raba kali za mtumba zenye ubora mzuri na bado zipo kwenye hali safi. ๐ Napatikana Iringa Mjini โ Miyomboni. Karibu ujipatie raba imara kwa matumizi ya kila siku kwa bei nafuu. Mawasiliano: 0718239676 Piga/WhatsApp kwa maelezo zaidi.
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa sembe
MAMA SWAI SUPER SEMBE UNGA BORA WA MAHINDI..5KG,10KG,25KG... โ
UNAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI โ
MIGAHAWANI โ
KUUZA MADUKANI TUNAPATIKANA MASHINE YA MWEMBETOGWA INAYOTAZAMANA NA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA.. Simu namba 0766811362. KARIBUNI SANA..
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Viwanja vipi iringa maneno ya kitwiru
Viwanja vipo Iringa manispaa maeneo ya kitwiru Vipo top top bei ni tofaut tofauti kulingana na eneo lilipo wewe piga cm tuu unapata kulingana na bei Yako na huduma zote zipo havina shida yoyote ile Na pia ya maji ni muhimu sana Col 0794496510
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
kuku wa kisasa wa nyama
Nauza kuku wa kisasa wenye afya nzuri na waliokuzwa kwa chakula bora. Unapata kuku bora kwa ajili ya biashara, sherehe, au matumizi ya nyumbani. Bei zetu ni nafuu na unaweza kupata kwa rejareja au jumla. ๐ Napatikana kihesa Iringa ๐ Wasiliana nami kwa maelezo zaidi 0718603656 0742610610
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Wauzaji wa furniture za ndani
Karibu kwenye duka letu la furniture za ndani, ambapo tunauza aina zote za samahani, sofa, meza za jikoni na sebule, viti vya kuburudisha, kabati, rafu, na mapambo ya nyumbani kwa ubora wa hali ya juu. Tunahakikisha kila bidhaa inakidhi mahitaji yako ya mtindo, uimara, na unafuu. Kwa bei nafuu na huduma bora, unaweza k...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza Kuku wa sasso ni wazuri
KARIBUNI mjipatie kuku aina ya sasso wanapatikana wakuuza na kufuga wamepata chanjo wote
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. ๐ Napatikana Gangilonga Iringa mjini ๐ Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 ๐ Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Located: Iringa, TZ
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
