1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vipi iringa maneno ya kitwiru
Viwanja vipo Iringa manispaa maeneo ya kitwiru Vipo top top bei ni tofaut tofauti kulingana na eneo lilipo wewe piga cm tuu unapata kulingana na bei Yako na huduma zote zipo havina shida yoyote ile Na pia ya maji ni muhimu sana Col 0794496510
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza furniture aina zote with high quality standard
NB.Tunatengeneza furniture aina zote βοΈ with high quality standard π₯ WE DO π Interior and Exterior πSite visiting π Office ; Changβombe Maduka Please call/Whatsapp us 0788847257
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza kuku wa Sasso wa ubora wa juu
Wauzaji wa kuku na vifaranga Bora vya sasso Washauri wa kitaalamu na wafugaji wa mabanda ya kuku Tunatumia mpaka mikoani
Located: Ismani, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza furniture za bei nafuu
Furniture mpyaa za bei ndogo Makabati Vitanda Showcase #kulipia kwa hawamu uhakikaa njoo WhatsApp 0627866680 Iringa town
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
masweta mazuri ya kisasa
Nauza masweta mazuri ya kisasa, yenye ubora mzuri na bei nafuu. Yanapatikana katika size na rangi tofauti kulingana na mahitaji yako. Yanafaa kwa matumizi ya kila siku na sherehe. Mahali: Iringa Mjini Wasiliana Nami: 0745395040
Located: Mafinga, TZ
Premium
Check with seller
Tunauza kuku wa nyama
Nauza kuku wa nyama wazuri, waliokuzwa kwa ubora na afya njema. Unapata kuku safi, wenye uzito mzuri na tayari kwa matumizi ya familia, sherehe au biashara ya chakula. π Napatikana Gangilonga Iringa mjini π Piga simu / WhatsApp: 0627731551, 06222155033 π Karibu uwasiliane nami kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza spare za magari
Nauza spare zote za magari makubwa ya usafirishaji wa mizigo, zikiwemo sehemu za injini, breki, suspension, body parts, mfumo wa hewa, oil filters, fuel filters, tairi, vifaa vya umeme na vipuri vingine muhimu kwa malori kama Scania, Volvo, Actros, Howo, Fuso, Hino, Isuzu na mengine mengi. Vipuri vyetu ni vya ubora wa ...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka pia Tunabadirisha muundo wa zamani kuwa wa kisasa kwa Bei nafuu tunapatikana iringa mjini mtaa wa zizi 0616181457
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza masofa ya kisasa
Tunatengeneza masofa ya kisasa ya aina mbalimbali tunapatikana iringa mjini Kwa mawasiliano 0624659006
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza mayai ya kisasa
Unataka kuwa MILIONEA? Uza MAYAI ! Anza hata na trey chache. Soko ni Kubwa. Uzia Nyumbani, Dukani, Kibandani, Gengeni... Agiza sasa kutoka KILOMBERO KUKU FARM Tsh.6,000/= @ Trey Piga 0769217810. Whatsapp 0677988499. * Makubwa ya kisasa yenye kiini cha njano. * Tupo Kilombero, Morogoro - Tanzania. * Tunasafirisha mikoa ...
Located: Morogoro, TZ
Premium
Check with seller
Mchele grade 1 kutoka mbeya
Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya kwa bei punguzo kilo ni 2000 Tunasafirisha popote ulipo Contact 0627109582 Kilo ni 2000
Located: Mbeya, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
