Nauza mayai ya kisasa safi na yenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu ya jumla. Yanafaa kwa biashara ya chakula, migahawa, hoteli au matumizi ya nyumbani.
โ
Ubora wa kuaminika
โ
Bei nafuu ya jumla
โ
Upatikanaji wa kila siku
Nipo Iringa, unaweza kuagiza kidogo au kwa wingi kulingana na mahitaji yako.
Mawasiliano:0753595143
Piga simu / WhatsApp ๐ 0753595143