#NAFASI_ZA_KAZI YA_KUSAMBAZA_TAARIFA
Wanahitajika watu watakao fanya kazi ya kusambaza taarifa za kampuni ya Gcat International Company Limited
Taarifa za huduma inayotolewa na kampuni kwa kutumia simu yako ya mkononi/ Smart phone.
NOTE:
* Nilazima uwe na simu kubwa/ Smart phone
* Uwe Iringa tu
* Uwe na bidii ya kazi
* Elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo
MALIPO
* Malipo yapo ya aina mbili (Malipo ya kila siku na kila mwisho wa mwezi) yote utapata.
* Kima cha chini kwa malipo ni (Kwa siku 20,000/= na kwa mwezi ni 350,000/=)
Wote mnakaribishwa, Ofisi ipo IRINGA mjini maeneo karbu na zizi
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba
0653880934☎️
GOODWILL NOVELLUS SECONDARY SCHOOL 2026 ADMISSION Karibu shule bora ya sekondari – GOODWILL NOVELLUS Inayopatikana Maji ya Chai – Arusha, Tanzania, iliyo na kidato cha kwanza hadi cha nne. Ni shule ya wavulana na wasichana, ya kutwa na bweni yenye usajili Na. S. 5833. Nafasi za Masomo Nafasi za kujiunga na Kidato cha 1...
DescriptionBATELEUR SAFARIS presents... RUAHA CHRISTMAS PARTY & SAFARI! 📍 Ruaha National Park | 🗓️ 25th & 26th December, 2025 2 DAYS / 1 NIGHT EXPERIENCE - AN ALL INCLUSIVE SAFARI PACKAGE! - Transport, 3 Meals, Accommodation, Soft Drinks, Entry & Guiding fees with so much fun! 💰 PRICES... > East African ...
Unatafuta mashuka ya mtumba grade 1 yenye ubora wa hali ya juu? Napatikana Iringa Mjini na nauza mashuka safi, imara, yenye rangi nzuri na yanayodumu muda mrefu. Kila shuka linaweza kutumika kwa matumizi ya nyumbani, nyumba za kulala wageni, hosteli, au matumizi ya kawaida. Mashuka yangu ya mtumba grade 1 yamechaguliwa...
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.