*••• USAJILI WA JINA LA BIASHARA*
*••• USAJILI WA LESENI YA BIASHARA*
*••• USAJILI WA KAMPUNI*
*••• USAJILI WA TIN NUMBER*
*••• USAJILI WA BASATA*
*••• KU RENEW LESENI YA BIASHARA*
*••• KU RENEW BUSINESS NAME*
*••• USAJILI WA WATERMARK (LOGO)*
*••• TAX CLEARANCE*
*••• DETAIL INFORMATIONS ABOUT BUSINESS NAME*
*••• DETAIL INFORMATIONS ABOUT COMPANY*
*••• USAJILI WA NEST*
*••• KAMA UMESAHAU NAMBA YA NIDA TUNAKUTAFUTIA*
*Tuna Wataalamu wazoefu wa Registrations na Sajili zote za Online karibu sana*
Mimi MUUZAJI wa mabelo ya mitumba OG nauza bidhaa bora zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu. Nauza shuka safi na nene, suruali za kike na kiume, nguo bora za watoto, pamoja na nguo za wakubwa kwa matumizi ya kila siku na hafla mbalimbali. Mitumba yangu huchaguliwa kwa umakini, iko katika hali nzuri na inavutia wateja. Nafaa kwa rejareja na jumla, bei ni rafiki na zinajadiliwa. Karibu ununue mitumba OG ya kuaminika, huduma ya haraka na uaminifu wa hali ya juu. Tunapokea oda na kusafirisha ndani na nje ya mkoa.
KARIBU DUKA LA VYOMBO IRINGA 🛍️ Unatafuta vyombo vya kisasa, vya ubora na vya kuvutia kwa matumizi ya nyumbani au zawadi? Sasa usihangaike! Tunapatikana Iringa Mjini tukikuletea seti nzuri za vyombo vya kuhifadhia chakula, vitafunwa, sukari, mchele, unga na matumizi mengine ya jikoni kwa muonekano wa kisasa na wa kifah...
USHONAJI WA SITI KAVA ZA MAGARI KWA UBORA WA HALI YA JUU – IRINGA ✨🚗 Je, unataka kubadilisha mwonekano wa gari lako na kulifanya lionekane la kisasa, nadhifu na lenye thamani zaidi? Inndesigners Brand tunakuletea huduma bora ya ushonaji na ufungaji wa siti kava za magari kwa ubora unaodumu kwa muda mrefu. Tunashona sit...
BWAWANI VILLAGE RESORT – IRINGA 🌴✨ Unatafuta sehemu bora ya kupumzika, kufanya mikutano, kusherehekea matukio muhimu au kufurahia chakula kitamu pamoja na familia na marafiki? Bwawani Village Resort ndiyo chaguo sahihi kwako! 📍 Tunapatikana Iringa, katika mazingira mazuri, tulivu na salama yanayokupa faraja ya kipekee ...
HUDUMA ZA UFUNDI UMEME NA SOLAR IRINGA MJINI ☀️🏠 Je, unahitaji fundi umeme wa kuaminika kwa nyumba, biashara, ofisi au mradi wako wa ujenzi? Sisi ni wataalamu wa ufundi umeme na mifumo ya nishati ya sola (Solar) wenye uzoefu wa kutosha kuhakikisha kazi yako inafanyika kwa ubora wa hali ya juu na kwa viwango vya kisasa....
FUNDI BINGWA WA KUEZEKA MAPAA YA NYUMBA – IRINGA NA MAENEO YA JIRANI 🔨🏠 Je, unajenga nyumba mpya au unahitaji kubadilisha paa la nyumba yako? Usihangaike! Fundi Japhal Kalinga ni mtaalamu mwenye uzoefu wa kazi za uezekaji wa nyumba za aina zote kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. ✅ Ufungaji wa truss za mbao ...
ABIY FURNITURE IRINGA – SAMANI ZA KISASA ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Je, unatafuta sofa za kisasa, makabati ya nguo, meza za TV, seti za sebule au samani za ofisi zenye ubora wa hali ya juu? Karibu ABIY Furniture Iringa, mahali sahihi pa kupata samani za kisasa zinazoongeza hadhi, uzuri na thamani ya nyumba yako. Tunate...
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.