VUNJABEI IRINGA
SKETI ZA KISASA ZENYE MVUTO MKALI KWA BEI POA SANA 🔥🔥
Unatafuta sketi nzuri, za kisasa na zenye kukaa vizuri mwilini? Basi umefika sehemu sahihi 😍
Tunazo sketi kali sana za mitoko, outing, kazini, chuoni na matumizi ya kila siku kwa bei ya kuanzia Tsh 20,000/= tu! 🔥
✅ Quality ya juu sana
✅ Mitindo ya kisasa na ya kuvutia
✅ Zinakaa vizuri mwilini
✅ Zinapatikana size mbalimbali
✅ Bei rafiki kwa kila mtu
💃 Kama unapenda kupendeza na kuonekana smart kila siku, hizi sketi ni chaguo sahihi kwako. Tunauza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu kwa wanawake wanaopenda fashion ya kisasa.
📍 TUNAPATIKANA: 📌 Kahama – Jengo la CCM tunatazamana na CRDB
📌 Mwanza – Mtaa wa Lumumba
📌 Arusha – Karibu na Friends Kona
📌 Kigoma – Stesheni
📌 Dodoma – Barabara ya Saba
📌 Iringa – Barabara ya Uhindini
📌 Mbeya – Mwanjelwa Jengo la Biashara
🚚 Tunatuma mikoa yote Tanzania kwa usafiri wa uhakika
📦 Tunapokea oda za jumla na rejareja
Usikubali kubaki nyuma kwenye fashion 😍
Karibu uchukue sketi yako leo kwa bei ya offer kabla hazijaisha! 🔥🔥
📞 Wasiliana nasi inbox au piga simu kupata maelezo zaidi na kufanya oda yako mapema
