1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
Check with seller
Nauza unga wa mchele
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa sembe
MAMA SWAI SUPER SEMBE UNGA BORA WA MAHINDI..5KG,10KG,25KG... ✅UNAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI ✅ MIGAHAWANI ✅KUUZA MADUKANI TUNAPATIKANA MASHINE YA MWEMBETOGWA INAYOTAZAMANA NA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA.. Simu namba 0766811362. KARIBUNI SANA..
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka pia Tunabadirisha muundo wa zamani kuwa wa kisasa kwa Bei nafuu tunapatikana iringa mjini mtaa wa zizi 0616181457
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mchele grade 1 kutoka mbeya
Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya kwa bei punguzo kilo ni 2000 Tunasafirisha popote ulipo Contact 0627109582 Kilo ni 2000
Located: Mbeya, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vipi iringa maneno ya kitwiru
Viwanja vipo Iringa manispaa maeneo ya kitwiru Vipo top top bei ni tofaut tofauti kulingana na eneo lilipo wewe piga cm tuu unapata kulingana na bei Yako na huduma zote zipo havina shida yoyote ile Na pia ya maji ni muhimu sana Col 0794496510
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mayai ya kisasa bei ya jumla
Nauza mayai ya kisasa safi na yenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu ya jumla. Yanafaa kwa biashara ya chakula, migahawa, hoteli au matumizi ya nyumbani. ✅ Ubora wa kuaminika ✅ Bei nafuu ya jumla ✅ Upatikanaji wa kila siku Nipo Iringa, unaweza kuagiza kidogo au kwa wingi kulingana na mahitaji yako. Mawasiliano:075359...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Mchele grade 1 kutoka mbeya
Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya kwa bei punguzo kilo ni 2000 Tunasafirisha popote ulipo Contact 0627109582 Kilo ni 2000
Located: Mbeya, Mbeya, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
