1 results match your search criteria
Check with seller
Nauza tipa ya mchanga
Nauza gari aina ya tipa ya mchanga ambalo liko katika hali nzuri na linafaa kwa kazi zote za ujenzi, usafirishaji wa mchanga, mawe, kifusi na mizigo mingine ya site. Gari lina nguvu, lina injini imara, halina matatizo ya matumizi na limekuwa likitunzwa vizuri. Tipa hii inafaa kwa kampuni za ujenzi, wachimbaji, mafundi ...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
