1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
45.00 TZS
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325 Malipo awamu mbili miez 6&12 Miezi 6 malipo kwa week 15821 Miezi 12 malipo kwa week 10640 Karibuni sana iringa free delivery Piga 0611218325
Premium
Check with seller
Raba Kali za Mtumba Bei Nafuu Iringa Miyomboni
Nauza raba kali za mtumba zenye ubora mzuri na bado zipo kwenye hali safi. ๐ Napatikana Iringa Mjini โ Miyomboni. Karibu ujipatie raba imara kwa matumizi ya kila siku kwa bei nafuu. Mawasiliano: 0718239676 Piga/WhatsApp kwa maelezo zaidi.
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza furniture za bei nafuu
Furniture mpyaa za bei ndogo Makabati Vitanda Showcase #kulipia kwa hawamu uhakikaa njoo WhatsApp 0627866680 Iringa town
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Tunakopesha na kuuza simu aina ya Samsung
TUNAKOPESHA NA KUUZA SIMU AINA YA SAMSUNG NDANI NA NJE YA IRINGA VIGEZO 1. VITAMBULISHO KATI YA NIDA, MPIGA KURA AU LESENI YA UDEREVA 2. NAMBA AKO YA SIMU 3. KIANZIO A05 Gb 64/4 Cash -365K A06 128/4gb Kianzio-120,000Tsh Weekly -11,475 Cash-470,000Tsh A05S 128/4gb Kianzio-120,000Tsh Cash -450,000Tsh A16128/4gb Kianzio-1...
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Premium
Check with seller
Nguo za Mtumba za Watoto Zinapatikana
Nauza Nguo nzuri na za bei nafuu za watoto ๐น Mahali: Iringa, Mashine Tatu ๐น Ubora: Zipo katika hali nzuri, zimechaguliwa kwa umakini ๐น Bei: Nafuu kabisa โ unapata kwa bei ya jumla na rejareja ๐ Karibu ujipatie nguo bora za mtumba kwa ajili ya watoto wako! ๐ Kwa mawasiliano: 0769333551
Located: Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vinauzwa
VIWANJA VINAUZWA. โ
VIWANJA VIPO KINYANAMBO A (MIFUGO) MAFINGA IRINGA ๐น๐ฟ. โ
VIWANJA VIMEPIMWA UKUBWA WA MITA 20 KWA 25 NA 20 KWA 20 . โ
BEI NI MILIONI TATU NA LAKI TANO PUNGUZO LIPO KIDOGO. โ
VIMEBAKI VIWANJA VITATU TU. โ
O768651525.
Located: Mafinga, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza Showcase Nzuri ya Kisasa
Nauza showcase nzuri ya kisasa kwa ajili ya chumba cha wageni au ofisi. Imetengenezwa kwa mbao imara na vioo vya ubora, inafaa kwa kuhifadhia vyombo, vitabu au mapambo. Hali yake ni nzuri sana na inauzwa kwa bei nafuu. ๐ Napatikana Iringa mjini ๐ Piga au tuma meseji kwa maelezo zaidi 0627477686 0710574686
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Mabelo ya Nguo za Mitumba Bei Nafuu
Nauza mabelo ya nguo bora za mitumba aina mbalimbali kwa bei nafuu. ๐ Ubora wa hali ya juu ๐ Bei rafiki na inayokubaliana ๐ Chaguo la mteja โ mitindo na makundi tofauti Napatikana Iringa. Kwa mawasiliano na maelezo zaidi nipigie simu au tuma meseji. Simu/WhatsApp: 0716454646
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Mayai ya kisasa bei ya jumla
Nauza mayai ya kisasa safi na yenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu ya jumla. Yanafaa kwa biashara ya chakula, migahawa, hoteli au matumizi ya nyumbani. โ
Ubora wa kuaminika โ
Bei nafuu ya jumla โ
Upatikanaji wa kila siku Nipo Iringa, unaweza kuagiza kidogo au kwa wingi kulingana na mahitaji yako. Mawasiliano:075359...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Mikopo ya biashara kuanzia milioni moja
Mikopo ya BIASHARA kuanzia Milioni moja(1,000,000) na kuendelea. Ni kwa ajili ya wafanyabiashara walio na biashara Iringa. Tunakuja kukagua biashara,na kiwango cha mkopo kitategemeana na uwezo wa biashara yako. Piga simu ili uje Benki kwetu kwa maelezo zaidi. PIGA SIMU 0612 250266-Afisa Mikopo
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Rent
Premium
Check with seller
TANGAZO LA KAZI
We are Hiring! HR Coordinator --- Why Join Us? At Ramada Hotel, we believe our people are our greatest asset. This role offers the chance to develop your HR career in a supportive, international hospitality environment, while making a meaningful impact on employee engagement and organisational success. --- About the Ro...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza mayai ya kisasa
Unataka kuwa MILIONEA? Uza MAYAI ! Anza hata na trey chache. Soko ni Kubwa. Uzia Nyumbani, Dukani, Kibandani, Gengeni... Agiza sasa kutoka KILOMBERO KUKU FARM Tsh.6,000/= @ Trey Piga 0769217810. Whatsapp 0677988499. * Makubwa ya kisasa yenye kiini cha njano. * Tupo Kilombero, Morogoro - Tanzania. * Tunasafirisha mikoa ...
Located: Morogoro, TZ
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
