1 results match your search criteria
Premium listings
Premium
45.00 TZS
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325
JIPATIE SIMU YA MKOPO SAMSUNG A05 STORAGE 64 GB KWA KIANZIO 45,000 TU PIGA SIMU 0611218325 Malipo awamu mbili miez 6&12 Miezi 6 malipo kwa week 15821 Miezi 12 malipo kwa week 10640 Karibuni sana iringa free delivery Piga 0611218325
Premium
Check with seller
Mchele grade 1 kutoka mbeya
Karibu mchele grade 1 kutoka Mbeya kwa bei punguzo kilo ni 2000 Tunasafirisha popote ulipo Contact 0627109582 Kilo ni 2000
Located: Mbeya, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Viwanja vinauzwa kigonzile
Njooo ujichukulie viwanja ivyoo apoo mia 700sq kwa milioni tatu na nusu Kila kimoja pga 0714974268 location kigonzile karibu na Shule ya st Dominic
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza unga wa sembe
MAMA SWAI SUPER SEMBE UNGA BORA WA MAHINDI..5KG,10KG,25KG... ✅UNAFAA KWA MATUMIZI YA NYUMBANI ✅ MIGAHAWANI ✅KUUZA MADUKANI TUNAPATIKANA MASHINE YA MWEMBETOGWA INAYOTAZAMANA NA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA.. Simu namba 0766811362. KARIBUNI SANA..
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza unga wa lishe
Ni unga mzuri kwa afya yako inatumika na lika zote Kuna mchangiko wa mahindi, Soya Ngano Karanga Ulezi
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Nauza kuku wa Sasso wa ubora wa juu
Wauzaji wa kuku na vifaranga Bora vya sasso Washauri wa kitaalamu na wafugaji wa mabanda ya kuku Tunatumia mpaka mikoani
Located: Ismani, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka
Tunatengeneza na kurepeare sofa zilizo choka pia Tunabadirisha muundo wa zamani kuwa wa kisasa kwa Bei nafuu tunapatikana iringa mjini mtaa wa zizi 0616181457
Located: Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Mayai ya kisasa bei ya jumla
Nauza mayai ya kisasa safi na yenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu ya jumla. Yanafaa kwa biashara ya chakula, migahawa, hoteli au matumizi ya nyumbani. ✅ Ubora wa kuaminika ✅ Bei nafuu ya jumla ✅ Upatikanaji wa kila siku Nipo Iringa, unaweza kuagiza kidogo au kwa wingi kulingana na mahitaji yako. Mawasiliano:075359...
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Tunatengeneza furniture aina zote with high quality standard
NB.Tunatengeneza furniture aina zote ✔️ with high quality standard 🔥 WE DO 📍 Interior and Exterior 📍Site visiting 📍 Office ; Chang’ombe Maduka Please call/Whatsapp us 0788847257
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Tunatoka mikopo kwa watumishi
𝗙𝗔𝗡𝗜𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗖𝗥𝗢𝗙𝗜𝗡𝗔𝗡𝗖𝗘. 𝖳𝖺𝖺𝗌𝗂𝗌𝗂 𝗂𝗇𝖺𝗒𝗈𝗍𝗈𝖺 𝗆𝗂𝗄𝗈𝗉𝗈 𝗄𝗐𝖺 𝗐𝖺𝗍𝗎𝗆𝗂𝗌𝗁𝗂 𝗐𝖺 𝖴𝖬𝖬𝖠 𝗒𝖾𝗇𝗒𝖾 𝗋𝗂𝖻𝖺 𝗇𝖺𝖿𝗎𝗎 𝗓𝖺𝗂𝖽𝗂. 𝖪𝗎𝖻𝗐𝖺 𝗄𝗎𝗅𝗂𝗄𝗈 𝗎𝗇𝖺𝗁𝗎𝖽𝗎𝗆𝗂𝗐𝖺 𝗉𝗈𝗉𝗈𝗍𝖾 𝗄𝗐𝖺 𝗇𝗃𝗂𝖺 𝗒𝖺 𝗌𝗂𝗆𝗎 𝗍𝗎. 𝖶𝖺𝗌𝗂𝗅𝗂𝖺𝗇𝖺 𝗇𝖺𝗌𝗂.𝗄𝗐𝖺 𝗇𝖺𝗆𝖻𝖺 0620673040/0768417146. 𝖠𝗎 𝗍𝗎𝗆𝖺 𝗍𝗎 𝗎𝗃𝗎𝗆𝖻𝖾
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Mabelo ya Nguo za Mitumba Bei Nafuu
Nauza mabelo ya nguo bora za mitumba aina mbalimbali kwa bei nafuu. 👉 Ubora wa hali ya juu 👉 Bei rafiki na inayokubaliana 👉 Chaguo la mteja – mitindo na makundi tofauti Napatikana Iringa. Kwa mawasiliano na maelezo zaidi nipigie simu au tuma meseji. Simu/WhatsApp: 0716454646
Located: Iringa, TZ
Premium
Check with seller
Nauza mayai ya kisasa
Unataka kuwa MILIONEA? Uza MAYAI ! Anza hata na trey chache. Soko ni Kubwa. Uzia Nyumbani, Dukani, Kibandani, Gengeni... Agiza sasa kutoka KILOMBERO KUKU FARM Tsh.6,000/= @ Trey Piga 0769217810. Whatsapp 0677988499. * Makubwa ya kisasa yenye kiini cha njano. * Tupo Kilombero, Morogoro - Tanzania. * Tunasafirisha mikoa ...
Located: Morogoro, TZ
Premium
8500.00 TZS
Mayai trei < mayai 30>
Mayai ni ya kisasa free delivery kuanzia trei tano, kwa mitaa yote ya karibu iringa town Ilala, Mwembetongwa, mkwawa, frelimo, makorongoni, wilolesi nk...
Located: Iringa, TZ
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
- 1
