Tafuta kazi Tanzania โ nafasi za ofisini, usimamizi, ualimu, biashara na kazi nyingine mbalimbali kupitia Gulio Iringa
Higher price first
100000.00 TZS
Nauza nguo
Nauza nguo za mtumba za kiume mtumba jumla na na na na na na na na
Located: Dar es Salaam, Dar es Salaam, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
5.00 TZS
KIZITA SOFT LTD Iringa โ Website, CCTV, GPS na Huduma za IT
KIZITA SOFT LTD โ Suluhisho la Kisasa la Teknolojia kwa Biashara Yako Je, unatafuta kampuni ya kuaminika ya TEHAMA itakayokusaidia kukuza biashara yako kwa kutumia teknolojia za kisasa? KIZITA SOFT LTD ndiyo chaguo sahihi kwako. Tunatoa huduma mbalimbali za kitaalamu zinazolenga kuboresha uendeshaji wa biashara, kuonge...
Located: Iringa, Iringa, TZ
5.00 TZS
Recho Photography Iringa | Wedding & Fashion
RECHO PHOTOGRAPHY Iringa Photographer wa Kiwango cha Juu ๐ธ Je, unatafuta mpiga picha mwenye ubunifu, uzoefu na uwezo wa kunasa kila hisia muhimu katika maisha yako? RECHO Photography ndiyo chaguo sahihi kwa picha za kisasa, zenye ubora wa hali ya juu na zinazodumu kama kumbukumbu ya maisha. Tunatoa huduma za upigaji pi...
Located: Iringa, Iringa, TZ
5.00 TZS
KARIBU THE MGAO PRE AND PRIMARY SCHOOL
KARIBU THE MGAO PRE AND PRIMARY SCHOOL. -Shule ipo Mtaa wa KIGUNGAWE "A",Kata ya IGUMBILO,mkoa wa IRINGA. -Shule imesajiriwa kwa namba EM.21014. -Nafasi zilizopo ni kuanzia awali mpaka darasa la sita. MAWASILIANO: 0623311884. KARIBUNI.
Located: Iringa, Iringa, TZ
5.00 TZS
Katambi Stationery & Supplies Iringa | Vifaa vya Shule na Ofisi
KATAMBI STATIONERY & SUPPLIES โ MWANGATA, IRINGA โ๏ธ๐ Je, unatafuta sehemu ya kuaminika kwa vifaa vya shule, ofisi na biashara? Karibu Katambi Stationery & Supplies, mahali ambapo ubora, bei nafuu na huduma bora hukutana. Tunapatikana Mwangata, Iringa na tunatoa huduma za jumla na rejareja kwa bidhaa mbalimbali ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Karibu Autorex Garage Iringa
Karibu Autorex Garage Iringa โ kituo chako cha uhakika kwa huduma bora za matengenezo na utunzaji wa gari. Tunatoa Wheel Alignment ya kisasa kwa usahihi zaidi ili kuhakikisha gari lako linasimama na kusafiri kwa mtiririko mzuri. Pia tunafanya Car Services kamili ikijumuisha engine check, brake check, oil change, filter...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
2.00 TZS
Msemwa sounds huduma ya ukodishaji muziki
Msemwa Sound ni huduma ya ukodishaji wa vyombo vya muziki mkoani Mafinga, ikiwalenga wateja wa harusi, sherehe za ndoa, birthdays, events za shule, parties za kijamii na tamasha lolote. Tunatoa vyombo vya muziki vya kisasa vinavyofaa kwa aina zote za matukio, ikiwemo speakers, amplifiers, microphones, mixers, DJ equipm...
Located: Mafinga, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
2.00 TZS
Kiwanja kinauzwa isakalilo
Kiwanja kinauzwa katika eneo la Isakalilo, Manispaa ya Iringa, kikiwa na ukubwa wa 25 kwa 35. Ni eneo zuri sana kwa makazi, uwekezaji au ujenzi wa mradi binafsi kutokana na mandhari tulivu na miundombinu iliyo karibu. Kiwanja kimepimwa rasmi, hivyo mnunuzi anapata uhakika wa umiliki halali na hati safi. Maji na umeme v...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Supply and Delivery of Petrol Water Pumps
INVITATION TO SUPPLIERS (Request for Quotation) Supply and Delivery of Petrol Water Pumps Background and Introduction Rikolto Tanzania, in partnership with the World Food Programme (WFP) and Mastercard Foundation, is implementing the Vijana Kilimo Biashara (VKB) Project aimed at strengthening food systems and improving...
Located: TZ
Check with seller
TANGAZO LA KAZI
We are Hiring! HR Coordinator --- Why Join Us? At Ramada Hotel, we believe our people are our greatest asset. This role offers the chance to develop your HR career in a supportive, international hospitality environment, while making a meaningful impact on employee engagement and organisational success. --- About the Ro...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Check with seller
ERNEO PLUMBING LTD
{ITEM_TITLE}-{ITEM_ID}
Located: Babala, Dodoma, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Community Safety & Health Officer Job Opportunity 2026
Job Description Community Safety & Health Officer Job Overview The Community Safety &Health Officer (CSHO) will be responsible for supervising and supporting Community Health Workers (CHWs) in providing health education. They will work with the community to arrange place/site visits and support Rescue for Hunge...
Located: TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
