Nguo za wanawake kwa jumla na rejareja, zenye mtindo wa kisasa na ubora. Pata nguo za sherehe, casual na kazi kwa urahisi Tanzania.
Higher price first
Matangazo ya kipekee
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Yanayovutia kwa Bei Nafuu
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu – Safi na Bora
Premium
Wasiliana na muuzaji
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Check with seller
Jeans Nzuri za Kike Iringa – Bei Nafuu na Ubora wa Juu
GATTY JEANS SPORT IRINGA 🔥 Chimbo la mavazi ya kisasa na yenye ubora kwa wanawake na watoto 👖🧥✨ Tunapatikana Iringa mjini, opposite na Iringa Plaza. Kwa yeyote anayependa kupendeza kwa mavazi ya fashion na bei nafuu, huu ndio sehemu sahihi kwako. Tunauza nguo za chambu zenye ubora wa hali ya juu na mitindo ya kisasa in...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Buy
Check with seller
Mitindo Bora ya Suti za Kike Iringa kwa Ofisi na Sherehe
Je, unatafuta suti za kike za kisasa Iringa zinazokupa muonekano wa kifahari, wa kujiamini na unaovutia kila unapovaa? Karibu SUTiMWILIHENGA, mahali pa kupata suti za wanawake zilizoshonwa kwa ustadi wa hali ya juu na zinazolingana na mitindo ya kisasa. Tunatengeneza suti za kike kwa vipimo maalum ili kuhakikisha zinak...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Magauni ya Mtumba Bei Nafuu – Safi na Bora
Nauza magauni ya mtumba ya kike yenye ubora mzuri na muonekano wa kisasa. Magauni yapo katika hali nzuri, safi na yanapatikana kwa bei nafuu sana. ➡️ Aina mbalimbali za magauni (short, long & casual wear) ➡️ Ubora mzuri – yanavaliwa muda mrefu ➡️ Bei nafuu inayokufaa Mahali: Iringa mjini– Mashine tatu Wasiliana Nas...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Nunua Magauni ya Mtumba ya Kisasa Iringa
Karibu upate magauni ya kisasa, yenye mvuto na ubora wa Grade 1 kwa bei nafuu. Tunapatikana Iringa na tunatuma mikoa yote Tanzania kwa haraka na uhakika. ✅ Tunauza jumla na rejareja ✅ Mabalo mapya yanafunguliwa kila wiki ✅ Mitindo mipya na ya kisasa inapatikana ✅ Nguo safi, quality nzuri na bei rafiki 📍 Tupo Iringa 📞 C...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Mabelo ya Magauni Mtumba – Jumla na Rejareja
Karibu katika ofa yetu mpya ya kufungua mabalo ya magauni ya mtumba Grade 1, ambapo sasa tunauza kwa jumla na rejareja kwa bei nafuu kabisa! Hii ni nafasi nzuri kwa wafanyabiashara na wateja wa kawaida kupata magauni bora, safi na ya kisasa yanayouzwa kwa kasi sokoni. Bidhaa zetu zimechaguliwa kwa umakini kuhakikisha u...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Suti za Kike za Sketi Ndefu Iringa – Mitindo ya Kisasa
Suti za Kike za Sketi Ndefu Iringa – Muonekano wa Heshima na Kisasa ✨ Unatafuta suti za kike za sketi ndefu zenye muonekano wa smart, classy na wa kisasa? SUTiMWILIHENGA tunashona suti nzuri za wanawake zenye sketi ndefu kwa ubora wa hali ya juu zinazofaa kwa ofisini, ibadani, vikao, harusi na matukio mbalimbali rasmi....
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Duka la Nguo za Ndani Nzuri Iringa
💖 NGUO ZA NDANI NZURI ZA WANAWAKE NA WANAUME 💖 Karibu Fancy Find upate nguo za ndani nzuri zenye ubora, comfort na muonekano wa kisasa kwa kila siku 🥰 ✨ Tunapatikana na: ✔️ Lingerie za kisasa ✔️ Pajamas nzuri na soft ✔️ Nguo za ndani za wanawake na wanaume ✔️ Slippers na accessories mbalimbali ✔️ Bei nafuu na bidhaa bo...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Premium
Check with seller
Magauni Mazuri ya Mtumba Grade A Bei Nafuu Iringa
Nauza magauni mazuri ya mtumba Grade A yenye ubora wa hali ya juu, safi, na ya mitindo ya kisasa. Magauni yetu yanatoka kwa wachuuzi wa kuaminika na yamechaguliwa kwa uangalifu kuhakikisha kila kipande kina muonekano mzuri, kinaendana na mitindo ya sasa, na kinastahili kwa sherehe, shuleni, au matumizi ya kila siku. Tu...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Sketi za Jeans Iringa – Mitindo ya Kisasa kwa Bei Nafuu
VUNJABEI IRINGA SKETI ZA KISASA ZENYE MVUTO MKALI KWA BEI POA SANA 🔥🔥 Unatafuta sketi nzuri, za kisasa na zenye kukaa vizuri mwilini? Basi umefika sehemu sahihi 😍 Tunazo sketi kali sana za mitoko, outing, kazini, chuoni na matumizi ya kila siku kwa bei ya kuanzia Tsh 20,000/= tu! 🔥 ✅ Quality ya juu sana ✅ Mitindo ya ki...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Suti za Kike za Kisasa Iringa Mishono ya Ubora
Mishono ya Suti za Kike Iringa – Mitindo ya Kisasa na Ubora wa Hali ya Juu ✨ Je, unatafuta mishono ya suti za kike yenye muonekano wa classy, smart na wa kuvutia? SUTiMWILIHENGA tunakuletea mishono mizuri ya suti za wanawake inayokufanya uonekane tofauti kwenye ofisi, harusi, graduation, ibada na matukio mbalimbali ras...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Check with seller
Chimbo la Magauni ya Mtumba ya Kisasa na Bei Nafuu
NEY STORE MITUMBA Magauni mazuri ya mtumba grade 1 ,Tupo Iringa mikoani tunatuma ✓Tunauza kwa jumla na rejareja pia ✓Tunafungua mabalo kila wiki Call 0783915395
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: Used
Transaction: Sell
Check with seller
Suti za Kike za Kushona Iringa – Mitindo ya Kisasa na Ubora wa Juu
SUTiMWILIHENGA FASHION DESIGNER – IRINGA TANZANIA ✨ Tunashona nguo za kisasa kwa wanawake na wanaume kwa ubora wa hali ya juu, zinazokufanya uonekane tofauti na wa kipekee kwenye kila tukio. Kuanzia suti za kisasa, magauni, mashati, suruali hadi mavazi ya special occasion – hapa ndipo style yako inapopewa thamani yake ...
Located: Iringa, Iringa, TZ
Condition: New
Transaction: Sell
Save this search
Save this search and get notified when new offers are posted.
