Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
Nauza simu za iPhone na Samsung pamoja na accessories mbalimbali za simu. Zipo kwenye hali nzuri na bei nafuu. Pata simu na vifaa vinavyokidhi mahitaji yako ya kila siku. 📍 Napatikana Iringa mjini 📞 Piga simu au tuma meseji kupata maelezo zaidi piga simu 0782 309 009
Tunauza unga halisi wa mchele usioongezwa kitu chochote kwa matumizi wa uji, mkate na vitumbua kilo moja sh 3500/= Tupo Iringa mjini mawasiliano zaidi tupigie 0658931392 mikoa ya jirani tunatuma kwa uaminifu