Nauza spare zote za magari makubwa ya usafirishaji wa mizigo, zikiwemo sehemu za injini, breki, suspension, body parts, mfumo wa hewa, oil filters, fuel filters, tairi, vifaa vya umeme na vipuri vingine muhimu kwa malori kama Scania, Volvo, Actros, Howo, Fuso, Hino, Isuzu na mengine mengi. Vipuri vyetu ni vya ubora wa juu, vinadumu na vinakidhi mahitaji ya safari ndefu na matumizi mazito ya kila siku. Tunatoa ushauri wa kitaalam ili kuhakikisha unanunua kifaa sahihi kulingana na model ya gari lako. Tunapatikana Ipogolo Iringa, na tunatuma mzigo popote mikoani kupitia mabasi au cargo. Huduma ni za haraka, bei ni rafiki na bidhaa zote ni mpya na zenye uhakika. Kwa mawasiliano au oda, tuma WhatsApp 0616 124 420. Tunahudumia wamiliki wa malori, madereva na kampuni za usafirishaji wanaohitaji vipuri bora bila usumbufu
Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.