WEDDING || ALL EVENTS || STUDIO PORTRAITS
Creating Timeless Memories
Tunatoa huduma za upigaji picha na video kwa viwango vya juu, tukilenga kukuwezesha kuhifadhi kumbukumbu za muhimu kwa njia ya kipekee na ya kisasa. Iwe ni harusi, send-off, birthday, graduation, corporate events au photoshoot za studio, tunahakikisha kila tukio linaandikwa kwa ubora wa hali ya juu. Tumebobea katika kufanya creative shoots, outdoor sessions, indoor studio portraits na coverage ya matukio ya kila aina kwa kutumia vifaa vya kisasa na wahusika wenye uzoefu.
Kila mteja kwetu ni wa kipekee, na tunajitahidi kuunda mazingira rafiki, professional na yenye ubunifu ili picha zako ziwe na hisia, ubora, na hadhi. Tunapiga picha zinazotunza kumbukumbu za maisha, tukikupa matokeo yanayovutia na yanayodumu.
Open Monday – Sunday
Tupo tayari kukuhudumia siku zote za wiki kwa booking za mapema na huduma za dharura.
📍#iringatown
📞 Call 0752 713 678
