Unatafuta vitu vipya au used vyenye ubora wa hali ya juu bila kupoteza muda kwenda dukani? MPONZI ELECTRONICS STORE inakuletea bidhaa bora, imara na zenye kudumu moja kwa moja kutoka kwa wauzaji wanaoaminika. Tunajivunia kutoa electronics za kisasa kama TV, simu, home theaters, friji, laptop, speaker, redio na vifaa vingine muhimu kwa matumizi ya nyumbani na ofisini. Kila bidhaa tunayouza imekaguliwa vizuri ili kuhakikisha unapata kitu halisi, salama na chenye thamani ya pesa yako. Huduma zetu ni za haraka, rafiki kwa mteja na zinalenga kukupa urahisi wa kupata unachohitaji bila kusafiri hata hatua moja.
Tunapatikana Iringa Mjini – Kihesa Majembe, na tunahudumia wateja wote wa maeneo ya karibu na mbali kupitia simu au WhatsApp. Unachotakiwa kufanya ni kutupigia au kututumia ujumbe na tutakuhudumia mara moja.
📞 0656422270 (WhatsApp Available)
Mussa Mponzi — Follow kwa bidhaa mpya, ofa na matangazo muhimu.
